Uumbaji: HIStoria / Yetu | WVBS Online Video

Uumbaji: HIStoria / Yetu


Loading

Description

Sikiliza Neno la Mungu kuhusu Historia yake katika Uumbaji wetu

MWANZO 1
HAPO MWANZO MUNGU ALIZIUMBA MBINGU NA NCHI
NAYO NCHI ILIKUWA UKIWA, TENA UTUPU; NA GIZA LIKUKUWA JUU YA USO WA VILINDI VYA MAJI ROHO YA
MUNGU IKATULIA JUU YA USO WA MAJI
MUNGU AKASEMA, “IWE NURU,” IKAWA NURU.
MUNGU AKAIONA NURU, YA KUWA NI NJEMA
MUNGU AKATENGA NURU NA GIZA.
MUNGU AKASEMA, MAJI YALIYO CHINI YA MBINGU NAYAKUSANYIKE MAHALI PAMOJA, ILI PAKAVU
PAONEKANE; IKAWA HIVYO.
MUNGU AKAPAITA PALE PAKAVU NCHI; NA MAKUSANYIKO YA MAJI AKAPAITA BAHARI, MUNGU AKAONA
YAKUWA NI VYEMA
MUNGU AKAFANYA MIANGA MIWILI MIKUBWA
ULE MKUBWA UTAWALE MCHANA
NA ULE MDOGO UTAWALE USIKU. AKAFANYA NA NYOTA PIA
MUNGU AKASEMA, “NATUMFANYE MTU KWA MFANO WETU, KWA SURA YETU ….”

MATENDO
NAYE ALIFANYA KILA TAIFIA LA WANADAMU KUTOKA KATIKA MMOJA, WAKAE JUU YA USO WA NCHI YOTE …..
ILI WAMTAFUTE MUNGU, INGAWA NI KWA KUPAPASA- PAPASA, WAKAMWONE. IJAPOKUWA HAWI MBALI NA
KILA MMOJA WETU.

© 2024 WVBS Online Video