More results...
Uumbaji: HIStoria / Yetu (Creation: HIStory - Our Story) - Swahili Version
Uumbaji: HIStoria / Yetu
Sikiliza Neno la Mungu kuhusu Historia yake katika Uumbaji wetu MWANZO 1 HAPO MWANZO MUNGU ALIZIUMBA MBINGU NA NCHI NAYO NCHI ILIKUWA UKIWA, TENA UTUPU; NA GIZA LIKUKUWA JUU YA USO WA VILINDI VYA MAJI ROHO YA MUNGU IKATULIA JUU YA USO WA MAJI MUNGU AKASEMA, “IWE NURU,” IKAWA NURU. MUNGU AKAIONA NURU, YA KUWA NI NJEMA MUNGU AKATENGA NURU NA GIZA. MUNGU AKASEMA, MAJI YALIYO CHINI YA MBINGU NAYAKUSANYIKE MAHALI PAMOJA, ILI PAKAVU PAONEKANE; IKAWA HIVYO. MUNGU AKAPAITA PALE PAKAVU NCHI; NA MAKUSANYIKO YA MAJI AKAPAITA BAHARI, MUNGU AKAONA YAKUWA NI VYEMA MUNGU AKAFANYA MIANGA MIWILI MIKUBWA ULE MKUBWA UTAWALE MCHANA NA ULE MDOGO UTAWALE USIKU. AKAFANYA NA NYOTA PIA MUNGU AKASEMA, “NATUMFANYE MTU KWA MFANO WETU, KWA SURA YETU ….” MATENDO NAYE ALIFANYA KILA TAIFIA LA WANADAMU KUTOKA KATIKA MMOJA, WAKAE JUU YA USO WA NCHI YOTE ….. ILI WAMTAFUTE MUNGU, INGAWA NI KWA KUPAPASA- PAPASA, WAKAMWONE. IJAPOKUWA HAWI MBALI NA KILA MMOJA WETU.