-
Uumbaji: HIStoria / Yetu (Creation: HIStory - Our Story) - Swahili Version
Uumbaji: HIStoria / Yetu (Creation: HIStory - Our Story) - Swahili Version
-
Je, Ninapaswa Nifanye Nini Ili Niweze Kuokoka? (What Must I Do To Be Saved?) - Swahili Version
Je, Ninapaswa Nifanye Nini Ili Niweze Kuokoka? (What Must I Do To Be Saved?) - Swahili Version
-
Je, tunakwenda wapi tunapokufa? (Where do we go when we die?)
Je, tunakwenda wapi tunapokufa? Ninadhani hili ni swali ambalo kila mtu aliyewahi kuishi amewahi kulifikiria, kwa sababu Kifo ni kitu ambacho kila mmoja wetu atakabiliana nacho. Kwa kadiri tunavyokuwa na kukomaa, tunawaona wale wanaotuzunguka wakifariki. Na ukweli uko wazi kabisa kwamba hata sisi siku moja tutakufa na huwa tunajiuliza ni nini kitafuata baadaye? Unajua kuwa kuna dhana nyingi zilizotolewa ili kulijibu hili swali. Lakini unajua kama mkristo, sipaswi kujiingiza kwenye mchezo wa kubashiri. Sipaswi kukubaliana na mambo ya uchawi au hadithi za uongo, kwa sababu ninaweza kulijua jibu la swali langu, si tu Je, ni wapi nilipotokea, lakini pia Je, ninakwenda wapi. Katika somo hili tutakwenda kuiangalia safari ya roho ya mwanadamu na tutaiacha Biblia itujibie, Je, tunakwenda wapi tunapokufa?
-
Kwa Nini Kuna Makanisa Mengi Hivi? (Why Are There So Many Churches?) - Swahili Version
Kwa Nini Kuna Makanisa Mengi Hivi? (Why Are There So Many Churches?) - Swahili Version
Language: Swahili Series
Programs presented in Swahili